Mtoto wa kike ana cha kusherehekea?

Imebadilishwa: 11 Oktoba, 2012 - Saa 17:09 GMT

Media Player

Utasikia mtoto mwenye umri wa miaka 12 ameolewa na mwanamume mwenye miaka kama hamsini hivi, ndoa ambayo humpa matatizo sana

Sikilizamp3

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Leo kwa mara ya kwanza siku ya kimataifa ya mtoto wa kike inaadhimishwa kote duniani. Nchini Kenya jamii ya Wamaasai wana tabia ya kuwaoza wasichana wao kwa watu wazima.

Mara kwa mara, kwa mfano, utasikia mtoto mwenye umri wa miaka 12 ameolewa na mwanamume mwenye miaka kama hamsini hivi, ndoa ambayo humpa matatizo sana msichana huyo na kumdhuru kimwili kwa sababu hajatimu umri wa kuwa mzazi.

John Nene ameliangazia hili katika ripoti yake.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.