Mwaka mmoja Somalia, nini cha mno?

Imebadilishwa: 16 Oktoba, 2012 - Saa 16:11 GMT

Media Player

Mwaka mmoja uliopita wanajeshi wa Kenya waliingia Somalia kwenda kuwasaka wapiganaji wa al Shabaab. Nini kumebadilika?

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Mwaka mmoja uliopita wanajeshi wa Kenya waliingia Somalia kwenda kuwasaka wapiganaji wa al Shabaab kutokana na kuzorota kwa hali ya usalama.

Hali ilikuwa tete hasa katika maeneo ya mpakani. Lakini kama anavyoarifu mwandishi wetu Noel Mwakugu harakati hizo za kijeshi zimebadilisha maisha ya Wakenya wengi.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.