Ndondi na wasichana wa Kenya

Imebadilishwa: 16 Oktoba, 2012 - Saa 09:39 GMT

Media Player

Je mchezo wa ndondi unaweza kubadilisha maisha ya mtu?

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Hebu tafakari hili, je mchezo wa ndondi unaweza kubadilisha maisha ya mtu? Katika mtaa wa Kariobangi viungani mwa mji wa Nairobi ,nchini Kenya , shirika la kijamii la Boxgirls limeanzishwa ili kukuza mchezo wa ndondi kwa wasichana hasa kwa wale wanaotoka jamii maskini. Lakini kuna changamoto. BBC swahili iliwatembelea wasichana hao wakiwa mazoezini na kuzungumza na mmoja wao Mary Adhiambo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.