Vurugu za kidini Tanzania

Imebadilishwa: 17 Oktoba, 2012 - Saa 15:01 GMT

Media Player

Vurugu hizo zilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Kijana mmoja kukojolea msahafu.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Watu 37 wamefikishwa mahakamani nchini Tanzania wakikabiliwa na mashtaka mbali mbali yakiwemo kuchoma moto makanisa kadhaa, wizi wa kutumia silaha na kuharibu mali zenye thamani ya mamilioni ya fedha.

Vurugu hizo zilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Kijana mmoja kukojolea msahafu.

Kutoka Dar es Salaam Tulanana Bohela ametutumia taarifa ifuatayo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.