Google inatumia vipi taarifa zako?

Imebadilishwa: 22 Oktoba, 2012 - Saa 15:56 GMT

Media Player

Muungano wa Ulaya unasema kampuni hiyo inapaswa kuwa wazi kuhusu matumizi ya data za watu

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Muungano wa Ulaya umelalamikia kampuni hiyo kwani haina uwazi kuhusu inavyotumia taarifa za watu za faragha ambazo huwataka watu kutoa wakati wakitumia mitandao yake.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.