Hatimaye mwangaza Mogadishu

Imebadilishwa: 5 Novemba, 2012 - Saa 09:04 GMT

Media Player

Baada ya giza muda mrefu

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Kwa zaidi ya miaka ishirini mji wa Mogadishu umekuwa bila mwangaza. Na ni tangu kung'olewa mamlakani kwa aliyekuwa rais Siad Barre.

Barabara za Mogadishu zimekuwa gizani kutokana na athari za vita kati ya serikali na makundi ya wanamgambo lakini meya wa mji Mohamed Ahmed Noor ameanza mpango wa kurejesha taa kwenye barabara kuu ya Mecc , mpango ambao umeshabikiwa na wengi . Na sasa shughuli zinaendelea hadi nyakati za usiku.

Ngendo Angela ansimulia zaidi

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.