Venus na Serena nchini Nigeria

Imebadilishwa: 5 Novemba, 2012 - Saa 09:16 GMT

Media Player

Wawafundisha vijana

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Venus and Serena Williams wanazuru Afrika na waliweza kutembelea mji wa Lagos wiki hii

Wanatumai kuwa watawapa motisha wasichana wadogo ili kusisitiza umuhimu wa kukuza vipawa vya wanawake wa Afrika.

Wamekuwa wakiendesha mafunzo ya tennis kwa watoto wadogo ili kuhamasisha watu kuhusu mchezo huo nchini Nigeria.

Mwanaisha Chidzuga anaelezae uzito wa ziara ya madada hawa

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.