Kitendawili cha uhamiaji Marekani

Imebadilishwa: 6 Novemba, 2012 - Saa 14:13 GMT

Media Player

Kuna idadi kubwa ya wahamiaji wanaofutalia kwa makini uchaguzi huu kwani kila mmoja ana sababu zake kulingana na anayoyataka

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Uhamiaji ni suala muhimu ambalo hujadiliwakila uchaguzi unapokaribia Marekani.

Kuna idadi kubwa ya wahamiaji wanaofutalia kwa makini uchaguzi huu kwani kila mmoja ana sababu zake kulingana na anayoyataka kwa mgombea.

Wakaazi hawa wa Harlem wanahisia zipi kuhusu uchaguzi huu.

Zuhura Yunus anaarifu zaidi.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.