Utabiri wa ushindi wa Obama

Imebadilishwa: 8 Novemba, 2012 - Saa 12:36 GMT

Media Player

Hisia za waafrika na uhsiano wa Obama na Afrika

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Obama ameibuka mshindi na ataiongoza Marekani kwa muhula mwingine baada ya kumpiku Mit Romney. Rais huyo ana mizizi yake nchini Kenya katika kijiji kimoja kidogo kiitwacho Kogelo. Kilifuatilia uchaguzi kuanzia mwanzo hadi mwisho na hata pakazaliwa watoto walioitwa majina ya Obama na mpinzani wake Romney

Je waafrika walikuwa na hisia gani kuhusu nani atakeyeshinda uchaguzi huo?

Hassan Mhelela anaarifu zaidi

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.