Je China mpya inaleta nini Afrika?

Imebadilishwa: 12 Novemba, 2012 - Saa 13:59 GMT

Media Player

Viongozi wapya wanatarajiwa kuendeleza ushawishi wa taifa hilo katika masuala ya uchumi duniani.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Katika wiki ambayo chama cha kikoministi nchini China, kinafanya mikakati ya kuchagua viongozi wapya, BBC inatazama nafasi ya China barani Afrika.

Viongozi wapya wanatarajiwa kuendeleza ushawishi wa taifa hilo katika masuala ya uchumi duniani.

Hivi sasa, ushawishi wa China unazidi kuongezeka barani Afrika, lakini kama anavyoarifu mwandishi wetu Noel Mwakugu, raia wengi wanahoji sana uhusiano huo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.