Utalii wa pamoja Afrika Mashariki

Imebadilishwa: 12 Novemba, 2012 - Saa 13:28 GMT

Media Player

Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zinataka kuuza utalii wake kwa pamoja badala ya mfumo uliopo sasa wa kila nchi kujitegemea.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Maonyesho ya utalii ya kimataifa yamemalizika London, ambapo nchi za Afrika Mashariki zimeendeleza mipango ya kuanzisha ushirikiano wa kuuza utalii kwa pamoja.

Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki zinataka kuuza utalii wake kwa pamoja badala ya mfumo uliopo sasa wa kila nchi kujitegemea.

Hata hivyo changamoto kwa sasa bado ni nyingi kwa hizo nchi. Kenya, mathalan imekuwa ikigonga vichwa vya habari kwa kwenda Somalia kuwasaka al Shabaab.

Je hatua hiyo imeathiri utalii. Waziri wa utalii wa Kenya Danson Mwazo amezungumza na Salim Kikeke.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.