Suluhu ya ukabila Burundi

Imebadilishwa: 27 Novemba, 2012 - Saa 15:28 GMT

Media Player

Baada ya mapigano suluhu la ukabila lilitoka wapi?

Sikilizamp3

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Burundi ilikumbwa na mapigano ya kikabila yaliyosababisha vifo vya maelfu ya watu .Muafaka baina ya makabila hayo haukuwezekana hadi mwaka 2000 kupitia mkataba wa amani wa Arusha ulioongozwa na rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela.

Mkataba huo uliweka mikakati ya ugavi wa madaraka na uongozi hususan katika jeshi na idara za usalama ambako kulikuwepo askari wengi kutoka kabila ndogo la watutsi.


Kutoka Bujumbura mwandishi wa BBC Ismail Misigaro anaripoti

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.