Rwanda ina nini cha kufunza Afrika?

Imebadilishwa: 27 Novemba, 2012 - Saa 13:36 GMT

Media Player

Wiki hii idhaa ya Kiswahili ya BBC inakuletea mfulululizo wa makala maalum kuhusu ukabila na unavyo hujumu demokrasia

Sikilizamp3

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Wiki hii idhaa ya Kiswahili ya BBC inakuletea mfulululizo wa makala maalum kuhusu ukabila na unavyo hujumu demokrasia barani Afrika.

Tunaanzia nchini Rwanda ambapo miaka 18 baada ya mauaji ya kimbari kuikumba nchi hiyo,serikali ya Rwanda inasema taifa hilo linaweza kuwa mfano wa kuigwa na mataifa mengi yenye migogoro .

Mashirika mbali mbali yalianzishwa vijijini kote yakihusisha waathiriwa wa mauaji ya kimbari na waliohusika na mauaji hayo.

Mwandishi wa BBC Yves Bucyana alitembelea shirika linalopigania umoja na maridhiano Kusini mwa nchi hiyo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.