Huduma mpya ya Kangaroo TZ

Imebadilishwa: 29 Novemba, 2012 - Saa 07:56 GMT

Media Player

Kuwatunza watoto wanaozaliwa kabla ya siku zao bila ya kutumia mashine za inkubeta.

Sikilizamp3

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili nchini Tanzania imeanzisha wodi maalumu inayotoa huduma mpya, maarufu kama Kangaroo ya kuwatunza watoto wanaozaliwa kabla ya siku zao bila ya kutumia mashine za inkubeta.

Huduma hiyo hutumika kwa mama kufungiwa mtoto kwa kitambaa maalumu kwenye tumbo lake, mfano wa mnyama Kangaroo anavyombeba mtoto wake, lengo ikiwa ni kumsaidia mtoto kupata joto na kumfanya awe karibu na mamake tofauti na inavyokuwa katika mashine ili aweze kukuwab haraka.

Mwandishi wetu Aboubakar Famau kutoka Dar es Salaam ametuandalia taarifa ifuatayo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.