Haba na Haba
Huwezi kusikiliza tena

Haba na Haba

Haba na Haba, makala ya utawala bora kwa kusikia mifano ya mafanikio na changamoto zake. Haba na Haba ni Kipindi ambacho kinatoa nafasi ya wananchi wa Tanzania kuzungumzia matatizo yao na viongozi kutoa majibu na ni cha Idhaa ya Kiswahili ya BBC kwa kushirikiana na redio washirika Tanzania.

Haba na Haba Facebook

Haba na Haba Twitter