Katongo ashinda tuzo ya BBC 2012

Imebadilishwa: 19 Disemba, 2012 - Saa 12:38 GMT

Media Player

Naodha wa timu ya taifa ya Zambia Christopher Katongo ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa BBC

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Christopher Katongo ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa BBC mwaka wa 2012.

Naodha huyo wa Zambia mwenye miaka 30 amemshinda Demba Ba, Didier Drogba, Younes Belhanda na Yahya Toure na kuwa mshindi wa kwanza kutoka Kusini mwa Afrika katika historia ya mashindano hayo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.