Kero la wavuvi Tanzania

Imebadilishwa: 9 Januari, 2013 - Saa 13:03 GMT

Media Player

Matukio ya ujambazi yamekuwa yakitishia usalama wa wavuvi na wasafiri katika ziwa Tanganyika, Magharibi mwa Tanzania.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Ingawa uvuvi ni mojawapo ya vyanzo vikuu vya mapato kwa watu wanaoishi kando kando ya Ziwa Tanganyika, matukio ya ujambazi yamekuwa yakitishia usalama wa wavuvi na wasafiri katika ziwa hilo Magharibi mwa Tanzania.

Polisi wanasema kazi yao inakuwa ngumu kutokana na ukosefu wa vitendea kazi na wamiliki kuajiri raia wa kigeni kinyume cha sheria.

Mwaka jana askari mmoja alipigwa risasi na kuawa katika mapambano na majambazi.

Mwandishi wa BBC Hassan Mhelela amefanya ziara Kigoma hivi karibuni alikotuandalia taarifa ifuatayo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.