Vurugu lachacha Afrika ya kati

Imebadilishwa: 11 Januari, 2013 - Saa 14:42 GMT

Media Player

Lakini waasi wasema wako tayari kwa mazungumzo na kusema kuwa wamesitisha mapigano

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Waasi wanaopambana na serikali katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati, wanasema kuwa wamekubaliana kusitisha mapigano kwa wiki moja baada ya mazungumzo ya amani nchini Gabon.

Waasi wanasema kuwa wanataka wanajeshi wa Afrika Kusini waondoke nchini humo na pia serikali iwaachilie wafungwa wa kisiasa ili waweze kuafikia mwafaka wa pamoja.

Waasi hao wa 'Seleka' walidhibiti maeneo ya Kaskazini na Mashariki kwa CAR katika kipindi cha wiki nne kuanzia Disema mwaka jana.Ken Mungai anaelezea hali ilivyo kwa sasa nchini humo

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.