Kijasho cha michuano ya mpira wa kikapu

Imebadilishwa: 15 Januari, 2013 - Saa 14:34 GMT

Media Player

Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda ni miongoni mwa mataifa yatakayoshiriki mashindano hayo ya kanda ya tano.

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Tanzania, Kenya, Uganda na Rwanda ni miongoni mwa mataifa yatakayoshiriki mashindano ya kanda ya tano ya mpira wa kikapu ya wanaume na wanawake ambayo yanaanza Jumatatu ijayo jijini Dar es Salaam.

Mashindano hayo yanatumika kuchagua waakilishi wa kanda hiyo kushiriki kwenye kombe la mataifa ya Afrika mwezi Septemba huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Hii ni timu ya wanawake ya Kenya chini ya kocha Ronny Owino wakijiandaa kwa mashindano hayo katika uwanja wa ndani wa Nyanyo mjini Nairobi

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.