'Kahawa kinywaji cha kisasa'

Imebadilishwa: 28 Januari, 2013 - Saa 12:45 GMT

Media Player

Ndio kauli mbiu ya mjasiri amali na mtaalamu wa mswala ya Kahawa Roberts Mbabazi kutoka Uganda

Tazamamp4

Unahitaji toleo sahihi la Flash Player kucheza sauti/video

Cheza katika media player

Bingwa wa biashara ya kahawa Afrika , (African barista champion Roberts Mbabazi ) anaelezea changamoto ya kuwashawishi watu Barani Afrika ambako kahawa iligunduliwa, kuweza kunywa kahawa.

Ingawa athari za kahawai, zinasemekana kugunduliwa Afrika, kulingana na hekaya za zamani, na raia wa Ethiopia , watu hawanywi sana kahawa barani Afrika kama ilivyo kwingineko duniani.

Hilo limekuwa tatizo kubwa kwa mtaalamu na bingwa wa kahawa Roberts Mbabazi kutoka Uganda, nchi ya wanywaji wengi wa chai, na ambayo pia ni mzalishaji mkubwa wa kahawa aina ya Robusta duniani.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.