Huwezi kusikiliza tena

Walichofanya Mashabiki wa Nigeria

Mashabiki wa Nigeria washerehekea ushindi wa timu yao wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Ivory Coast siku ya Jumapili. Ushindi huu unawapeleka katika nusu fainali ya michuano ya kombe la taifa bingwa Afrika, inayoendelea Afrika Kusini.

Sasa watamenyana na Mali Jumatano.