Huwezi kusikiliza tena

Tazama kipindi cha utayarishi wa uchaguzi

Wapiga kura nchini Kenya, watamchagua rais mpya tarehe 4 mwezi Machi ukiwa ni uchaguzi wa kwanza tangu uchaguzi wa Disemba mwaka 2007 ambapo ghasia zilizuka. Kipindi hiki kilionyeshwa tarehe 24/02/2013 kupitia runinga ya KTN.