Huwezi kusikiliza tena

Mgombea wa urais Musalia Mudavadi

Aliwahi kuwa makamu wa rais kwa muda mfupi sana, waziri wa fedha na alikuwa mshirika wa karibu sana wa waziri Mkuu Raila Odinga. Wengi walidhania kuwa Raila angejitoa kwenye kinyang'anyiro na kumpa fursa Mudavadi kufuatia makubaliano yao miaka mitano iliyopita. Wengi wanasema siasa zake hazichangamshi ni mpole sana na kuwa hana mvuto. Je Musalia Mudavadi ni nani? Ann Mawathe alzungumza naye.