Huwezi kusikiliza tena

Uchaguzi na teknolojia

Ihub ni kituo ambacho vijana kuvfhangaiaj amwazo na kuibuka na minu mbali mbali za kiteknolojia. Na wapiga kura wanahisi kuwa uchaguzi huu utakuwa wa nza kwao kutumia mitandao ya kijamii kuchagiana habari na matukio kuhusu uchaguzi mkuu mwaka huu

Ann Soy alitembelea kituo hicho cha iHub kujionea wanavyoendesha shughuli zao kuhusiana na uchaguzi huu