Huwezi kusikiliza tena

Muziki wa amani nchini Kenya

Wasaani wa Kenya walijitokeza kuhubiri amani kabla ya chaguzi mkuu kufanyika na huo ndio ulikuwa ujumbe kwa wakenya wote. Hii ni baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 kukumbwa na utata na kusababisha vurugu la kisiasa. Salim Kikeke anazungumza na wasanii hao mmoja akiwa Juliani