Huwezi kusikiliza tena

Raila Odinga.Nini matarajio yake?

Waziri Mkuu Raila Odinga alipata wadhifa wake baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 kukumbwa na utata na kusababisha vurugu. Je nini matarajio yake katika uchaguzi huu?