Huwezi kusikiliza tena

Wanawake na siasa Kenya. Je wametengwa?

Katiba mpya inatoa fursa kwa wanawake kuongoza katika nyadhifa za kisiasa . Je wataweza jukumu hilo? Ann Soy amechunguza na kutuma taarifa hii