Huwezi kusikiliza tena

Ndoto ya Afrika Tanzania

Miaka tisa iliyopita, akiwa hana uzoefu wowote wa uandishi habari, Emelda Mwamanga kutoka Tanzania alianzisha jarida la kwanza la nchi hiyo la mitindo, Je alianza vipi?