Huwezi kusikiliza tena

Ndoto ya Afrika Tanzania

11 Machi 2013 Imebadilishwa mwisho saa 16:10 GMT

Miaka tisa iliyopita, akiwa hana uzoefu wowote wa uandishi habari, Emelda Mwamanga kutoka Tanzania alianzisha jarida la kwanza la nchi hiyo la mitindo, Je alianza vipi?