Huwezi kusikiliza tena

Chinua Achebe afariki dunia

Image caption Chinua Achebe afariki dunia

Chinua Achebe mwana riwaya maarufu wa Afrika na duniani kwa ujumla, amefariki dunia mjini Boston, Marekani akiwa na umri wa miaka 83.

Akijulikana kwa riwaya zake za kusisimua hasa ile ya Things Fall Apart, alianza kuandika miaka ya mwisho ya 1950 muda mfupi kabla mataifa mengi ya Afrika kupata uhuru. Ali Saleh anatuelezea maisha na kazi zake.