Huwezi kusikiliza tena

China na Tanzania kushirikiana

Tanzania na China zimekubaliana kuanzisha uhusiano wa kibiashara ulio sawa kati ya mataifa hayo mawili katika siku ya mwisho ya ziara ya Rais Xi Jinping kwenye Taifa hilo la Afrika Mashariki .

Rais Jinping ameelekea Afrika Kusini jioni hii ambako atahudhuria mkutano wa viongozi wa BRICS-Mataifa matano yanayoinukia kiuchumi.

Ziara yake imekuja na wito wa mshikamano wa kati kwa kati baina ya China na Afrika. Baruan Muhuza ametuandalia taarifa zaidi kutoka Dar es Salaam.