Huwezi kusikiliza tena

Apata mamilioni kwa kuuza programu

Kampuni kubwa ya Yahoo imenunua "Programu Tumishi " ya simu ya mkononi iliovumbuliwa na Kijana Nick D'Aloisio mwenye umri wa miaka 17.

Inaaminiwa kuwa Kijana huyo atalipwa Mamilioni ya Dola za Kimarekani. Nick amevumbua Programmu iitwayo Summly ambayo inawawezesha watu kuweza kuona taarifa fupi za habari mbali mbali.

Suluma Kassim anafahamisha zaidi: