Huwezi kusikiliza tena

Vidokezo vya msimu wa kwanza

Katika kipindi hiki maalum, tunapiga darubini safari ya msimu wa kwanza wa Sema Kenya, tukitafuta vidokezo vya kutukumbusha tulikopita. Kipindi hiki kilionyeshwa tarehe 31/03/2013 kwenye runinga ya KTN.