Huwezi kusikiliza tena

Ujumbe wa 'ugua pole' kwa Mandela

Watu wa tabaka mbali mbali wamekuwa wakimtakia afya njema rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela, wakiandika ujumbe kwenye sehemu zote ikiwemo mawe kwa kumutia mikono yao na rangi nje ya makao ya Mandela mjini Johannesburg.

Mandela mwenye umri wa miaka 94, bado angali anapokea matibabu ya homa ya mapafu,mjini Pretoria baada ya kulazwa hospitalini kwa siku saba .