Huwezi kusikiliza tena

Nigeria na utafiti wa anga za juu

Idadi ya watu nchini Nigeria inaongezeka mara dufu, na hali ni hiyo hiyo kwa idadi ya changamoto zinazokabili taifa hilo.

Mradi wake mpya wa utafiti wa anga za juu,unajaribu kuboresha hali ya maisha ardhini kwa usaidizi wa utafiti wa kiteknolojia.

Picha zilizoonyeshwa kutoka kwa mtambo wa satelite ni ishara ya kujaribu kupambana na matatizo kama mafuriko , ukataji miti na msongamano wa watu katika sehemu za mjini.

Mwandishi wa BBC nchini Nigeria, Tomi Oladipo alitutumia taarifa hii kuhusu mitambo hiyo inavyofaya kazi.