Huwezi kusikiliza tena

Je utoaji mimba uhalalishwe Kenya?

Inasemekana zaidi ya wanawake 20,000 nchini Kenya hunalazwa hospitalini kila mwaka kutokana na matatizo ya utoaji mimba. Wapo wanaokufa.

Utoaji mimba umepigwa marufuku, labda tu kwa kufanya hivyo kutaokoa maisha ya mama. Kutokana na hali hiyo wasichana wengi huamua kutumia hospitali za vichochoroni kutoa mimba.

Anne Soy kutoka Nairobi anatufahamisha zaidi.