Huwezi kusikiliza tena

8 wakamatwa kwa shambulizi kanisani TZ

Polisi nchini Tanzania wanawashikilia watu wanane kuhusiana na shambulio la bomu kwenye kanisa moja la katoliki lililowauwa watu watatu na kuwajerihi wengine zaidi ya hamsini. Wanne kati yao ni raia wa Saudi Arabia na wanne ni Watanzania.

Majeruhi wanaendelea kutibiwa katika hospitali mbali mbali. Je shambulio hili limetokana na sababu za kidini? Salim Kikeke amemuuliza swali hilo Balozi wa Tanzania hapa Uingereza, Peter Kallaghe.