Huwezi kusikiliza tena

Kampeini ya lishe bora yaanza TZ

Kampeni ya kurekebisha lishe bora imezinduliwa Tanzania kutokana na takwimu zinazoonyesha kuwa nchi hio inashika nafasi ya tatu barani Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya watoto wenye utapiamlo.

Serikali ya nchi hiyo sasa itatoa kipaumbele kwa lishe bora ili kuondokana na kuhatarisha maendeleo ya nchi.

Tulanana Bohela anatuarifu zaidi.