Huwezi kusikiliza tena

Yoga yafunzwa magerezani Kenya

Mafunzo ya Yoga katika gereza la wanawake la Lang'ata mjini Nairobi Kenya, yawanahamasisha walimu na wafungwa.

Shirika la kijamii, la Africa Yoga, limewafunza zaidi ya walimu 100 ambao pia hutoa mafunzo ya bure ya Yoga katika kumbi za kijamii, mitaa ya mabanda na makao ya kuwahifadhi watoto kote nchini.