Huwezi kusikiliza tena

DJ apongeza AU kwa nyimbo London

Katika kuadhimisha miaka hamsini ya Umoja wa Afrika, BBC idhaa ya Kiingereza ilikusanya nyimbo hamsini za kuadhimisha shehere hizo. Nyimbo hizo zimechanganywa kistadi na DJ Edu wa BBC Radio 1 Extra. Nimezungumza na DJ Edu Nje ya jengo letu hapa kuhusu nyimbo hizo.