Huwezi kusikiliza tena

Msanii Jaak anayetumbuiza kwa Afrikaans

Katika mfululizo wetu wa makala za Ngoma za Afrika leo tupo Afrika Kusini na tunajumuika na msanii Jaak.

Yeye dhamira yake ni kuleta uamsho katika jamii ya machotara katika mji wa Paarl, Afrika Kusini.

Matumaini yake ni kuwafanya vijana wajivunie historia na asili yao. Pia anapenda kuikuza lugha ya Afrikaan.