Huwezi kusikiliza tena

Uingereza yawatendea haki Mau Mau

Mawakili wanaowakilisha maelfu ya wakenya walioteswa wakati wa ukombiozi wa Kenya kutoka kwa mkoloni, Uingereza, zaidi ya miaka hamsini iliyopita, wanasema wameafikia makubaliano ya fidia.

Takriban watu 10,000 waliuawa wakati wa harakati za Mau Mau mwaka 1950, na maelfu wakazuiliwa akiwemi babu yakle rais wa Marekani Barack Obama.