Huwezi kusikiliza tena

Barabara za Hayati Mandela

Mwisho wa enzi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini pamoja na kipindi cha mpito kilichokuwa na amani kuelekea kwa demokrasia, kinahusishwa pakubwa sana na mwanamume mmoja tu.

Kisa chake kilibadilisha siasa za nchi hiyo na ishara ipo kwenye simiti, lami na kwenye kuta kote duniani.

Mjini Delhi, India, barabara ya Nelson Mandela, ni makao ya duka la peremende.