Huwezi kusikiliza tena

Siku ya wakimbizi duniani. Nini cha mno?

Huku siku ya wakimbizi duniani ikiadhimishwa hii leo , idadi ya wakimbizi duniani imefikia zaidi ya million 45, ambapo nchi ya Uganda inahifadhi wakimbizi wapatao laki tatu unusu.

Je wakimbizi hao walioko Uganda wanatoka mataifa gani? Na wako katika makundi gani?

Mwandishi wetu Siraj Kalyango na maelezo zaidi.