Huwezi kusikiliza tena

Usafiri waimarika DRC

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imekuwa ikifanya mabadiliko makubwa ya kiuchumi hivi karibuni.

Baada ya kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji wa watu nje na ndani, miundombinu pia imerekebishwa.

Na kuadhimisha miaka 53 ya uhuru wake, mwishoni mwa wiki hii, serikali imepanga kupambana na wingu lililokuwa likizonga barabara mpya za mji mkuu.

Salim Kikeke alitembelea Kinshasa hivi karibuni.