Huwezi kusikiliza tena

Marekani na Tanzania zafanana kivipi?

4 Julai 2013 Imebadilishwa mwisho saa 08:34 GMT

Kuna nini ambacho Tanzania inekienzi ambacho wamarekani na wao wanapenda? Salim Kikeke alivinjari mitaa ya Tanzania wakati wa ziara ya rais wa Marekani Barack Obama huko na kujaribu kufananisha mambo kati ya nchi hizo mbili