Huwezi kusikiliza tena

Ushindani wa waekezaji Tanzania

Maslahi ya biashara zinazomilikiwa na Wamarekani zinatupiwa macho kote barani Afrika na Tanzania haina tofauti. Mataifa kama India, Brazil na Uturuki yanazidi kujiimarisha katika taifa hili lenye utajiri wa gesi asilia, lakini Wachina ndiyo wanaokena washindani wakubwa kwa Marekani. Hassan Mhelela ameandaa taarifa hii.