Huwezi kusikiliza tena

Nini kilimvutia Obama Tanzania?

Wapo wanaojiuliza mataifa makubwa yenye uchumi wenye nguvu, mbona yanapigana vikumbo barani Afrika.

Ni hivi karibuni Rais wa China Xi Jinping alifika Tanzania.

Na sasa rais Obama wa Marekani. Hilo ni moja ya maswali Charles Hilary aliyemtupia Rais Jakaya Kikwete alipozuru Uingereza hivi majuzi.

Kwanza maoni yake kwa nini Rais Obama aliichagua Tanzania miongoni mwa nchi tatu alizotembelea Afrika