Huwezi kusikiliza tena

Siku miamoja za Uhuru Kenyatta

Zimepita siku 100, tangu Uhuru Kenyatta kuapishwa kama rais wa Kenya. Katika hotuba yake wakati huo, miezi mitatu iliyopita, alitoa ahadi tatu, na ambazo alisema zitatimizwa katika muda wa siku mia moja, kama rais wa nchi.

Je, ametimiza ahadi hizo?

Emmanuel Igunza anaarifu zaidi kutoka Nairobi.