Huwezi kusikiliza tena

Mandela afikisha miaka 95

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela ametimiza miaka 95.

Rais Jacob Zuma amesema Bw Mandela bado anaendelea kutibiwa hospitali, na kwamba Madaktari wamethibitisha kuwa afya yake inatengenea. Siku yake hii ya kuzaliwa imeadhimishwa kwa hisia nyingi.

Watu wametakiwa kutumia muda wao wa Dakika 67, kutenda mema, sambamba na miaka 67 aliyotumia Bw Mandela katika shughuli za Kisiasa nchini Afrika Kusini. Suluma Kassim ana-tuelezea zaidi.